Amber Lulu Ataka Tanasha Na Anerlisa Wakanyagwe na Wapewe Vitasa Wakitua Bongo



Msanii na video vixen Amber Lulu ameingia tena trending kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusema kuwa Wakenya wote wanaotoka na masupastaa wa Bongo warudi nchini kwao.



Hii imekuja siku kdhaa baada ya mbunge wa jimbo la Starehe nchini Kenya Charles ‘Jaguar’ Kanyi kukamatwa kwa kutoa maeneno ya ubaguzi dhidi ya wafanyabiashara wakibongo na Uganda wanaofanya biashara zao jijini Nairobi.

Jini kisirani kupitia post hiyo aliyopost mtnadoni aliwataja Tanasha ambae anatoka na Diamond Platnumz, Anerlisa wa Ben Paul pamoja na Amina amabye ni mke wa mfalme wa bongo fleva Ali Kiba.


Amber Lulu aliandika

Haya wazee wenzangu na Mimi namtua huyu Baba yenu leo haiwezekani kabisaa mimi kama Mtanzania nimeumia sanaa
Tunawafanya wanakuwa ma-staa bongo alafu wanatuletea undezi!!!???? @prezzo254 kanyagaaa
@tanashadonna kanyangaa
#mrsbenpol kanyagaa
#mrsAllyKiba kanyagaa

Kama vipi #WAVUNGE na wakishuka bongo vitasaa mxiiiiiu

Post hii imeleta mkanganyiko balimbali kutoka kwa wananchi wa mtandaoni, wengi wameonekana sana kuchukizwa na bandiko hilo la jini kisarani, wameamua kumwadhibu kwa maneno ya kuchoma.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad