Amuua Mdogo Wake Akidai Anapendwa sana na Baba Yao

JESHI la Polisi mkoani Mara linamsaka Mniko Chacha (20) mkazi wa Kijiji cha Kitagutiti Kata ya Mbogi Wilaya Tarime mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mdogo wake Hasaani Chacha (7), akidai anapendwa zaidi na baba yao.



Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Henry Mwaibambe, akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema tukio hilo lilitokea Juni, 26 saa saa 6 mchana wakati wakiwa machungani.



“Mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Kitagutiti, Hassani Chacha, alishambuliwa na kaka yake Mniko Chacha wakiwa wanachunga ng’ombe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad