BREAKING NEWS: Ajali Mbaya Yatokea Watumishi Watatu wa TARURA Wafariki

Watumishi 3 wakala wa barabara za mjini na vijijini (TARURA) Mkoa wa Songwe wamefariki na wengine 2 kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea katika eneo la Migori mkoani Iringa wakati wakielekea Jijini Dodoma kikazi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad