Web

Breaking News: Tundu Lissu avuliwa Ubunge

Top Post Ad


Spika wa Bunge Job Ndugai amekitangaza kiti cha ubunge cha jimbo la Singida Mashariki lililokuwa linashikiliwa na mbunge Tundu Lissu liko wazi na amemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi kukijaza.

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.