Clatous Chama aongeza mkataba Simba SC

Mchezaji Clatous Chama ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC ambao ndio mabingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL).

Kwa msimu uliomalika, Chama atakumbukwa kwa kufanga magoli ya mwisho ambayo yalipeleka timu hiyo kwenye hatua ya makundi na robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad