Diamond Platnumz Aapa Kulipiza Kisasi, Zimerudi Ampiga Mkenya Bao 8 Jana Usiku



Kipigo cha kubahatisha cha goli 3-2 walichokipata timu ya taifa ya Tanzania  kutoka kwa majirani zao Kenya, kimewachanganya watanzania wengi sana wakiwemo viongozi na wananchi nchini.

Kipigo cha jana kimehitimisha a week long kutambiana kwa njia mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii juu ya nani ataibuka kidedea na kampeni hii iliongozwa na macomedian wakubwa ndani ya nchi mbili hizi.



Miongoni mwa watanzania walioumizwa na matokeo haya ni mwanamuziki Diamond Platnumz, yeye alicheki game akiwa na mpenzi wake Tanasha ambayeye ni mkenya na katika picha zilizosambaa walikua kila mmoja amevaa jezi ya timu yake ya taifa.

Mapema kabla ya gem mchekeshaji toka nchini Kenya Eric Omondi alipost a clip ambayo anaiigiza kumtekaTanasha na kumtaka Diamond kama anataka muokoa mchumba wake huyo apigie simu Taifa Stars wasikaribie lango la Stars!

Pengine jamaa alipiga,Daaaah!


Diamond kwa uchungu mkubwa kupitia instagram akaunti yake ameelezea kusikitishwa kwake na matokeo hayo mabaya ya Stars dhidi ya wakenya na kuweka kipande cha poster kilichosomeka  ‘Yani Chumba Chote Nakiona Kama Jela Leo…Ila haina Noma Najua Ntalipizia Wapi’ nakumalizia na kii-emoji cha kulia.



Watu wengi walikua na tafri mbalimbali lakini Diamond Mwenyewe alilifafanua kwenye comment na kuandika kuwa atapiga goli 8 usiku huo na kuuliza wangapi wamemuelewa. Aliandika

Sehemu ya kulipiza ni moja tuuu 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ ngoja nikampge mkenya bao ata 8 😂😂😂😂 nani amenielewa apo !???

Mbosso naye akakoment na  akatamani kuwa angekua anakaa Mbagala na angekuja kupiga chabo, akimaanisha kuwa pengine Diamond Platnumz amekusudia kufanya show na Tanasha usiku huo.

Mbosso aliandika;

Ingekuwa enzi zangu za Mbagala .. ningekuja Kuomba Ch..bo.. ili nijue unalipigania Taifa au unatuzalilisha.. Sio Kesi acha nikutakie kazi njema, Tanzania nzima tunakutegemea wewe Leo huko .. Usituangusheee Simbaaaaaaa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad