Erasto Nyoni Naye Atia Saini ya Miaka Miwili Simba

Mchezaji kiraka wa kimataifa na klabu ya Simba, Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu ya Simba. Nyoniameungana na Bocco na Aishi, walisaini kabla ya kuelekea Cairo kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (Afcon).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad