Eti Anasema Ana Mimba Yangu !..Wataalam Nisaidieni Pliz


Ni kweli nilifanya nae mapenzi siku ya 6 tangu kuanza bleeding,leo ananiambia ujauzito wangu,nimemtoa nduki kwanza....nifanye utafiti kwanza kama inawezekana.....

Eti wadau,siku ya 6 inawezekana kweli?? kwa elimu yangu ya baiolojia kwa vidato sita,,,,,sioni uwezekano kwa kweli....nahisi nataka kubambikiwa mzigo hapa...

Kwa wataalamu wanaofahamu zaidi kuhusu huu utaratibu naomba wanisaidie ufahamu...
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanza Oya.. Wewe kidato Cha Sita ulichukua nini?
    PCM AU PBC?
    WEWE I AONESHA ULIKUWA HGL.

    ULISOMA KWA LUGHA GANI?
    INAWEZEKANA LUGHA NA MSAMIATI MINGINE IKA NI CHALENJI KWAKO.
    SASA KWANI TEKINOLOJI SI EMEENDELEA SANA UNALIPA SH500 MAGOMENI UNAPEWA KITU NA BOXI YAKE FANYA HIVYO.. WEWE NA BODABODA INAWAIBUKIA MAGOMENI MCHEZO UMEKWISHA. HALAFU UNAANZA BAJETI YA PEMPAZI HONGERA MDAU.

    ReplyDelete
  2. Mshikaji wewe vipi?
    WEWE WA Wapi?
    Mzigo kama Huo alifungaaha kwe picha bado unauliza Tena.
    Mshikaji unachangamkia hapo..!!!
    Mie HATA sikuelewi.. Ahhhh.. Dooohhh..!!!
    Hembu ANGALIA vizuri Mzigo aliofungasha mie ningemfungia ndani tuu.
    Labda kwenda chooni tu.
    We kweli hamnazo niambie unakaa nae wapi..?? Jukumu tunaliweza.. Bahati ya mtende hiyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad