Huyu Hapa Bodigadi Mwanamke Aliyoajiriwa na Mwanamuziki Lulu Diva

Lulu Diva amefunguka kuwa amemuajiri mdada huyo pichani kuwa bodigadi wake. Akizungumza na GPL amesema anamlipa million 1 Kwa mwezi na kazi yake kubwa ni kuhakikisha star huyo anakula ninii, kumchagulia nguo za kuvaa Kwenye shows, kumbebea pochi na kukagua gari lake kabla ya Diva huyo kupanda. Amesema binadamu hawaaminiki wamejawa na husda sana ndio maana ameamua kujiwekea bodigadi

Kwanini hajaajiri bodigadi wa kiume kama wengi wafanyavyo? 


Star huyo wa Wimbo wa Mapopo amesema ameona bodigadi wa kike wataelewana na kusikilizana vizuri zaidi kuliko mwanaume

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad