Jonas Mkude Rasmi Simba Asaini Mkataba wa Miaka Miwili

Kiungo bora wa kati na kipenzi cha Wanasimba, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuchezea Mabingwa wa nchi Simba SC.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad