Mabweni ya Shule ya Mtama Yateketea kwa Moto

MABWENI ya Shule ya Sekondari Mtama, mkoani Lindi,  yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo ambapo  taarifa za awali zinasema hakuna majeruhi ila vitu vyote vilivyokuwa ndani vimeteketea.

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye,  kupitia Twitter yake amesema wanafanya tathmini na uchunguzi wa chanzo cha tukio hilo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad