Maurizio Sarri Kuikimbia Chelsea

Klabu ya Chelsea huenda ikamruhusu kocha wake Maurizio Sarri kuondoka klabuni hapo na kumfanya ajiunge na mabingwa wa Italia Juventus.

Katika msimu wake wa kwanza Sarri ameiwezesha klabu ya Chelsea kurudi kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kuweza kushika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza pamoja na kunyakua ubingwa wa Europa League.

Kocha huyo mwenye miaka 60 alifanya mazungumzo na mkurugenzi wa Chelsea Marina Granovskaia siku ya Ijumaa na kumwambia mwanamama huyo kuwa anataka kuondoka.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad