Mbele ya RC Makonda, Pascal Cassian wa BSS Atoa Ushuhuda Alivyopona (Video)



Tunayo stori kutokea kwa Mshindi wa BSS mwaka 2009 Pascal Cassian ambapo amemshukuru Mungu na Watanzania kwa jinsi walivyojitolea kuhakikisha hali yake ya Kiafya inarejea kama ilivyo awali kutokana na maradhi aliyokuwa akisumbuliwa nayo.

Pascal ametoa shukrani hizo wakati akitoa ushuhuda wa afya yake katika Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye alijitolea kuhakikisha anasafirishwa kwenda nchini India kupatiwa matibabu.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad