Mbunge Akamatwa Kwa Kumpiga Mbunge Mwenzake

KENYA: Rashid Kassim anatuhumiwa kwa kumchapa kibao Fatuma Gedi akimtuhumu kwa kutopeleka fedha kwenye jimbo lake

Baada ya kuchapwa kibao hicho, Fatuma Gedi ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, alionekana akivuja damu katika kinywa chake

Kufuatia kitendo hicho Wabunge Wanawake wote walitoka nje ya Ukumbi wa Bunge

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad