Hivi karibuni, Mashimo alisema Timu ya Simba haiwezi kuwa bingwa, lakini matokeo yakawa kinyume chake ambapo mapaparazi wachokozi walimuuliza Manara anauchukuliaje utabiri wa mchungaji huyo ndipo akasema;
“Akamtabirie Amber Rutty atapiga tena lini zile ‘picha zake’ na kusambaza mtandaoni.”
Kufuatia kauli hiyo, Mashimo alibuka na kucharuka kwa kusema endapo atagoma kumuomba radhi hadharani atafanya maombi ili msemaji huyo augue tumbo la kuendesha mfululizo mpaka atakapomuomba radhi. “Amuombe radhi Amber Rutty vinginevyo ataona,” alisema Mashimo.
zwazwa la taifa. ndo maana Mama dangote alimchamba na kumuita shoga.
ReplyDelete