Hii 👆🏻inasema hivi : kijana wa miaka 16 alikufa hivi karibuni.
Yeye na Kaka yake walikuwa wamelala usiku akaamka akitaka kutapika hivyo akafumba mdomo kwa mikono yake kuzuia asitapike Hadi afike bafuni akatapikie kule (Kama tunavyofanyaga), baada ya kutapika akawa analalamika anashindwa kupumua, baadae akafa.
.....Dokta akawaelezewa kuwa alijizuia kutapika hadi alipofika chooni ili asichafue kitanda au carpet, doctor alistuka sana, matapishi yalikwenda kwenye njia ya mfumo wa hewa na kuziba kumpelekea kushindwa kupumua.
...... Hivyo basi tuwaache watoto watapike pale wanapotaka kutapika na baadae kwenda bafuni. Tusiwalazimishe kuzuia matapishi Hadi wafike bafuni. Carpet litasafishwa lakini hatuwezi kurudisha mtoto akishakufa.
Jaribu kuwatumia watu wasome.
Inaweza kusaidia maisha ya wengi.