Mfanyabiashara Aomba Ulinzi wa Rais Magufuli, Adai Anawaogoa TRA


Mfanyabiashara kutoka Mbeya ameomba ulinzi wa Rais John Magufuli baada ya kudai anaogopa baada ya kuongelea changamoto anazokumbana nazo kutoka kwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Baada ya ombi hilo Rais Magufuli aelekeza mlinzi wake achukue namba ya mfanyabiashara huyo pamoja na kumpa ya kwake kwa ajili ya mawasiliano endapo atasumbuliwa.


Utakumbuka leo June 7, 2019 Rais Magufuli amekutana na wafanyabiashara kutoka wilaya zote nchini Ikulu jijini Dar es Salaam na kuzungumza nao ambapo wamemueleza changamoto zao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad