Aswile Msika (37) Mhandisi wa Halmashauri ya Chunya ajiua kwa kujinyonga katika eneo la Nyatura Kata ya Mbugani
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo siku ya jana
Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mhandisi huyo alikuwa akituhumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa na shauri lake lilikuwa katika Mahakama ya Wilaya ya Chunya - #regrann