Mhandisi AJINYONGA Kwa Kutumia SURUALI YAKE Kisa Kesi Takukuru



Aswile Msika (37) Mhandisi wa Halmashauri ya Chunya ajiua kwa kujinyonga katika eneo la Nyatura Kata ya Mbugani

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Ulrich Matei, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo siku ya jana

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mhandisi huyo alikuwa akituhumiwa kwa kuomba na kupokea rushwa na shauri lake lilikuwa katika Mahakama ya Wilaya ya Chunya  - #regrann  

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad