Mlinzi wa Shule ya Scolastica Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa


Mahakama Kuu Kanda ya Kilimanjaro imemhukumu kunyongwa hadi kufa Hamis Chacha ambaye alikuwa mlinzi wa Shule ya Scolastica baada ya kukutwa na hatia ya kumuua aliyekuwa mwanafunzi wa shul hiyo, Humphrey Makundi.

Mahakama hiyo pia imewahukumu kifongo cha miaka minne kila mmoja, mmiliki wa shule hiyo Edward Shayo na aliyekuwa mwalimu wa nidhamu Labani Nabiswa kwa kosa la kuficha ukweli wa mauji ya Humphrey Makundi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad