Msafara wa Nandy Festival Uliokuwa Ukielekea Sumbawanga Wapata Ajali Mikumi


Gari moja aina ya Coaster ambalo lilikuwa likielekea kwenye Show ya Nandy Festival mkoani Sumbawanga limepata ajali Mikumi mkoani Morogoro usiku huu na baadhi ya watu ambao hawakutambulika mara moja wamekimbizwa hospitali kwaajili ya matibabu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad