Mwanaume Amwoa Mwanaume Mwenzake Bila Kujua



Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.
Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. . Hakuwa na marafiki ? Ndugu au jamii inayomjua km yeye ni mwanamke? Hakuwahi kumpata yeyote anayemjua kabla ya kutoa?

    ReplyDelete
  2. Daah...!!
    Ama kweli.. MWAKA WA Hasara NI Hasara tu...!
    Ebwana Pole.
    Sasa inakuwaje..??
    Hii ILIKUWA Bankoki au Laos..??
    Na Mahari ulitoa au alitoa..??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad