Ameandika Mwijaku - "Daah yaani ukioa mwanamke msomi ,Mzuri anahofu ya Mungu , hata familia yako itakua na mabadiliko tu daah asante Mungu huyu mchaga kula siku namuona KIGOLI/MPYA .#Mke degree holder from UDSM ,Mume Degree/ Masters holder #UDSM , Unadhani mtoto atakuja kurithi nini ? Nyie endeleeni kuia Vilaza .waishie kuonyesha matako tu .
Sio unaoa mwanamke ana STAKABADHI sijui ya nini kutoka CHUO CHA KATA am talking about UDSM jamani sio hivyo vyuo vyenu . CHUO CHA KIMATAIFA ambacho kinatambulika duniani .
Alafu wanatokea wapumbavu wanataka kumfananisha mke wangu na vitu vya ajabu sijui kutoka kenya sijui uganda #Shubameet muwe mnatafakari kwanza .Tunaongelea Mke mzuri na sio watembea uchi wazuri "