Mwijaku "Msimfananishe Mke Wangu na Vitu vya Ajabu Ambayo Havina Degree Vionyesha Makalio"

Ameandika Mwijaku  - "Daah yaani ukioa mwanamke msomi ,Mzuri anahofu ya Mungu , hata familia yako itakua na mabadiliko tu daah asante Mungu huyu mchaga kula siku namuona KIGOLI/MPYA .#Mke degree holder from UDSM ,Mume Degree/ Masters holder #UDSM , Unadhani mtoto atakuja kurithi nini ? Nyie endeleeni kuia Vilaza .waishie kuonyesha matako tu .

Sio unaoa mwanamke ana STAKABADHI sijui ya nini kutoka CHUO CHA KATA  am talking about UDSM jamani sio hivyo vyuo vyenu . CHUO CHA KIMATAIFA ambacho kinatambulika duniani .

Alafu wanatokea wapumbavu wanataka kumfananisha mke wangu na vitu vya ajabu sijui kutoka kenya sijui uganda #Shubameet muwe mnatafakari kwanza .Tunaongelea Mke mzuri na sio watembea uchi wazuri "

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad