Polisi Mtwara Wamshikilia Mwanaume Aliyejikata Nyeti zake -VIDEO


Karimu M. Mshamu

Polisi Mtwara wanamshikilia Karimu M. Mshamu (35) ambae video yake inasambaa akiwa ameshikilia kipisi cha sehemu ya uume wake akidai ameamua kuukata ili kumtumikia Mungu na kujipesha na zinaa, tukio hilo limetokea katika kijiji cha Kitangari Newala, Mtwara. VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad