Rais Magufuli aipa POLE familia ya Abasi Tarimba Kwa Kufiwa



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwao Kinondoni ambao hivi karibuni wamefiwa na watoto wao wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es salaam kwa homa ya Denge

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad