Rais Magufuli Amteua Dkt. Mussa Juma kuwa Kamishna wa Bima (TIRA)

Rais John Magufuli amemteua Dkt. Mussa Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kuanzia Juni 25, 2019 akichukua nafasi ya Baghayo Saqware ambaye uteuzi wake umetenguliwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad