Safari ya Samatta Ligi ya Uingereza Yaivaa... Timu Hizi Hapa Zamgombania Kama Mpira wa Kona

TETESI ZA SOKA: Inadaiwa Klabu ya Brighton inayocheza ligi Kuu ya England inaongoza katika mbio za vilabu vinavyomuwania Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta

Inadaiwa kuwa Samatta mwenye thamani ya Paundi Milioni 12(Tsh. 34,930,999,680) pia anawaniwa na vilabu vya ni Aston Villa, Watford, Leicester na Burnley

Aidha, Mshambuliaji huyo mwenye mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Mabingwa wa Ubelgiji, Klabu ya KRC Genk pia amezivutia klabu za AS Roma ya Italia na Lyon ya Ufaransa

Samatta aliyekuwa wa pili kwa kupachika mabao msimu uliopita kwenye Ligi Kuu nchini Ubelgiji ameweka wazi kuwa anatamani kucheza soka nchini England msimu ujao

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad