Serikali ya Kenya imekosoa na kusema maudhui ya video ya Mbunge Jaguar sio msimamo wa serikali. Katika video hiyo, mbunge huyo aliwataka wafanyabiashara wa kigeni kuondoka ndani ya saa 24, la si hivyo, watawavamia, watawapiga na kuwafukuza nchini humo.
Serikali ya KENYA Yataka Mbunge Jaguar Kupuuzwa Yadai Aliyosema si MSIMAMO wa Serikali
0
June 26, 2019
Tags