Serikali ya Uganda yafuta tangazo la sikukuu ya Eid El Fitr



 Rais wa Uganda Yoweri Museveni
Serikali ya Uganda imeifuta taarifa yake iliyoitoa Mei 31 mwaka huu ambayo ilieleza kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa Juni 5. Serikali imesema haikuwa sahihi kutangaza tarehe ya sikukuu hiyo, pasi na kuwa na taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislamu nchini humo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad