Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara ameeleza sababu za kushuka kwa ufaulu kwa wananfunzi wa darasa la 7 wa mwaka 2017.
Waitara ametaja sababu hizo kuwa ni pamoja na pungufu wa walimu, ushiriki hafifu wa wazazi kutofuatilia maendeleo ya watoto,utoro.
"Sababu za kushuka kwa ufaulu wanafunzi wa DRS la 7 wa 2017,upungufu wa walimu, ushiriki hafifu wa wazazi kutofuatilia maendeleo ya watoto,utoro na nyingine nyingi, walimu wa shule ya msingi wanaojariwa wanafundisha masomo yote ya Sanaa na Sayansi na Hisabati, mpaka sasa tumeajiri walimu 14,422," amesema Waitara leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbinga vijijini.
Serikali yataja sababu za kushuka kwa ufaulu wa darasa la saba
0
June 03, 2019
Tags