Spika Ndugai afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa TMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes Kijazi alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia. Atashasta Nditiye. Dkt. Kijazi alishinda nafasi ya Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la hali ya hewa Duniani (WMO) uchaguzi uliofanyika tarehe 13 Juni, 2019 Geneva, Switzerland

Spika wa Bunge, Job Ndugai (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, Dkt. Agnes Kijazi (wanne kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia. Atashasta Nditiye. Dkt. Kijazi alishinda nafasi ya Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la hali ya hewa Duniani (WMO) uchaguzi uliofanyika tarehe 13 Juni, 2019 Geneva, Switzerland

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad