Taifa Stars Wakabidhiwa Bendera ya Taifa kuelekea AFCON Leo

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza amemkabidhi bendera Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta tayari kwa safari ambapo kikosi cha timu ya taifa kitaondoka leo kwenda nchini Misri kuweka kambi ya wiki mbili kikijiandaa na AFCON.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad