'Ukurasa wa Twitter wa ZITTO Kabwe Waacha Maswali' ACT Wazalendo Wanai Umedukuliwa




Taarifa zinazoweka kwenye akaunti ya Twitter ya Mbunge wa Kigoma na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe imeharifiwa kuwa si zake.

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Ado Shaibu, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, ACT Wazalendo inasema kuwa Simu na laptop ya Ndugu Zitto vipo mikononi mwa Jeshi la Polisi.

Hizi ndio baadhi ya Tweets ambazo zinawekwa kwenye ukurasa wa Kiongozi huyo;





Mke wa Mbunge huyo, amesema kuwa kurasa za mitandao ya kijamii za mumewe zimedukuliwa, na kwamba hana utawala wa kurasa hizo tangu Polisi walipotwaa simu yake na kompyuta. Amewataka watu kupuuza jumbe zinazochapishwa, na wasiwasiliane nae kupitia kurasa hizo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad