Uongozi wa WCB Wazindua Tamasha la Wasafi Festival 2019

Uongozi wa WCB pamoja na Wasafi Media kwa pamoja wamezindua rasmi Tamasha la Wasafi Festival 2019 ikiwa ni msimu mpya wa Mapinduzi ya Burudani nchini.

Msanii Diamond Platnumz ndiye ametangaza ujio wa Tambasha hilo ambalo litaanza Juluy 7 mwaka huu, Muleba.

"Tukimaliza Tu Muleba, tunapunzika siku moja, kisha tarehe 14 tunaingia mkoa wa Tabora kuwasha moto pale. Na niwaambie tu mimi binafsi nimejipanga kisawasawa, na sina utani jukwaani" amesema.

Ameendelea kwa kusema, "Baada ya Muleba na Tabora tutaenda kwa ndugu zetu Iringa tarehe 20 na huwa wanatupa Upendo wa ajabu na Msimu huu tunahakikisha Iringa hawatatusahau Katika Sekta ya Burudani,".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad