Mchungaji Daud Komando Mashimo amefunguka kuhusu ujumbe ambao amepewa na malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa amri ya mahakama ambayo iliamuru apelekwe huko kwa siku saba wakati akisubiria uamuzi wa mahakama wa kumfutia dhamana kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa awali.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI