VIDEO: Mchungaji Afunguka Ujumbe Aliopewa na WEMA Sepetu Gerezani


Mchungaji Daud Komando Mashimo amefunguka kuhusu ujumbe ambao amepewa na malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ambaye kwa sasa yupo gerezani kwa amri ya mahakama ambayo iliamuru apelekwe huko kwa siku saba wakati akisubiria uamuzi wa mahakama wa kumfutia  dhamana kwa madai ya kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa awali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad