VIDEO: Mwinyi Zahera ni Kiboko, Apiga Mkwara mzito Yanga


Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amezidi kuonyesha kuwa hana masihara kwenye kazi kwa kufunguka kuwa haitaji kocha msaidizi wa bongo baada ya kusambaa kwa tetesi kuwa uongozi wa timu yake unataka kumletea kocha mwingine msaidizi huku kocha Mecky Mexime wa Kagera Sugar akitajwa kuchukua mikoba hiyo.

TAZAMA FULL V IDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad