VIDEO: RC Makonda Atua Misri ”Nataka Kwanza Kuiyona Timu Yangu, Mpenzi wa Mpira Hawezi Kukata Tamaa Kwa Mechi Moja”



Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa timu ya Tanzania, Taifa Stars amefika tayari jijini Cairo nchini Misri kwaajili ya kuwatia nguvu wachezaji kabla ya kuwavaa Harambee Stars ya Kenya.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad