Wababe wa Simba Wapata Kocha Mpya

Klabu ya Sevilla imethibitisha kuwa imempa kibarua cha ukocha aliyewahi kua kocha wa Real Madrid Julen Lopetegui kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.

Lopetegui, 52, alikua nje ya kibarua tangia aondolewe Real Madrid Octoba 2018 baada ya michezo 14 Santiago Bernabeu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad