Watanzania siyo wazalendo, timu ikifanya vibaya ni ya TFF na viongozi- Rais wa TFF

Rais wa Shirikisho lenye dhamana ya kusimamia mchezo wa Mpira wa Miguu (TFF) ameonyesha masikitiko yake kwa baadhi ya Watanzania wenyetabia ya kulaumu pale timu za taifa zinapofanya vibaya na kukukishushia lawama chombo hicho na viongozi na inapofanya vema inakuwa ni ya kwao wote.



”Huwezi kusema Taifa Stars hawakujituma, vijana wetu wamejitahidi kwakuwa tumecheza na timu bora Afrika na kwa matokeo yale ya kucheza na timu bora Afrika tena nje ya nyumbani kwetu sio mabaya. Ingawa siyo mazuri kwasababu tupo kwenye mashindano, tunaendelea na pambano na vijana wanamorali ya juu.” Karia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad