Zari amsikitikia Tanasha kupewa ujauzito na Diamond Platnumz

Mjasiriamali , Zari The Bosslady amempongeza Tanasha kwa kupewa ujauzito wa Diamond Platnumz.

Hata hivyo licha ya pongezi hizo, amemsikitikia mrembo huyo wa Kenya, kwa kuwa amepewa ujauzito na baba wa watoto watatu asiyewajibika kama baba.

Kwenye video fupi iliyochukuliwa kwenye Insta live Ijumaa hii, akiwa Nairobi Kenya kwa mwaliko wa Akontee zari alisikika akisema "Kuna mtu anasema Tanasha ni mjamzito comment inakuja kila mara, ni vizuri kuwa mjamzito ni kitu kizuri lakini kitu kingine ni kuwa baba wa watoto watatu asiye wajibika kwahiyo inanifanya nihoji vipaumbele vyake kwahiyo hongera nina matumaini unafedha za kutosha benki kwaajili ya kumtunza mtoto huyu unajua kwasababu yuko hivyo alivyo."

Ijumaa hii Tanasha na Diamond walikuwa wakifanya photoshoot kwaajili  ya shughuli ya kifamilia iliyopangwa siku ya Sabasaba.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KILA kitu tunae da kwa awamu/Zamu.

    Uganda tayari
    Kenya Tayari
    Nyumbani Tayari
    Burundi tayari bado?
    Rwanda NI Lazima
    DRC iko njiani.

    MUNGU I Bariki Tanzania
    MUNGU waBaeiki Wato tooo WA WaTanzania.

    Tuaongeza Wigo kwa Lugha nyepesi. Na kuunganisha Damu.
    Kama vipi mie niko KARIBU tu.. NI bipu nimeshafika

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad