Ajali ya Basi la Kampuni ya Kisbo Leo Asubuhi


AJALI YA BASI: Basi la kampuni ya Kisbo, linalofanya safari zake kutoka Tabora kwenda Dar-es-salaam kupitia barabara ya Itigi ambayo ipo kwenye matengenezo, limeanguka asubuhi majira ya saa mbili eneo la Kijiji cha Tura.

Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinadai hakuna aliyepoteza maisha.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad