Bahati Bukuku Afunguka Makubwa "Nilitongozwa na Baba Mchungaji"


Mwimbaji nguli wa muziki wa injili nchini Tanzania amesimulia kisa chake ambacho alitakwa kimapenzi na baba mchungaji.

Akiongea na kituo cha redio mkoani Mbeya Bahati Bukuku amesema baada ya ndoa yake kuwa mashakani alimfuata mchungaji ambaye alimtisha kuwa haruhusiwi kuolewa bali asubiri mpaka kifo kiwatenganishe na mumewe. Bahati Bukuku anasema miaka mitatu baada ya ndoa yake hiyo kukumbwa na mtanziko mchungaji huyo alimpigia simu na kumtaka kimapenzi. Bahati alimjibu mchungaji huyo kuwa aendelee kusubiri maana bado kifo hakijamtenganisha na mumewe


Tazama Video:

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado wapo wanaoongele makabila,?!. Hotuba za Mwalimu... Zipo??

    ReplyDelete
  2. Hata kuvuka Bondela mto Lufiji.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad