Bernard Membe akiri Sauti yake kudukuliwa


Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amekiri kuwa sauti iliyovuja mitandaoni wiki mbili zilizopita ni ya kwake.

Membe amesema sauti hiyo ni ya kwake kwa asilimia 100 na maongezi ni yake binafsi, Hivyo amesema anajua ni wapi kulipotokea tatizo.

Membe amesema kuwa udukuaji ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania. Kutokana na hilo ameamua kuwaachia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wafanye kazi hiyo.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mjomba Benadi....!!!

    Kama ulikuwa hujui( sidhani hivyo )
    kwaba Usalama wa Taiffa na Amani yake
    Ni Jukumu na ni Wajibu wa Kila Mtanzania mwenye Akili Timamu.

    Nyie wenye Nia na Malengo yakutuvurugia kwaKisingizio cha Magu ambaye ni Mzalendo alie amua kuitumikia nchi yake na Wananchi wake
    zikiwemo Taasisi zake Zote.

    Mjue tutawashughulikieni pasi na Huruma....!!!!

    Hapa hamjitoi Kimasomaso.

    KARATA ZENU ZIMEFICHUKA.
    MTA TOKA KAPA .NA HURUMA ZETU HAMZZIPATI.

    ReplyDelete
  2. Mjomba MembeBenardi....!!!

    Kama ulikuwa hujui( sidhani hivyo )
    kwaba Usalama wa Taifa na Amani yake
    Ni Jukumu na ni Wajibu wa Kila Mtanzania mwenye Akili Timamu.

    Nyie wenye Nia na Malengo yakutuvurugia kwa Kisingizio cha Magufuli (Kipenzi chetu ) ambaye ni Mzalendo alie amua kuitumikia nchi yake na Watu wake ( ila kubagua) zikiwemo Taasisi zake Zote.

    Mjue tutawashughulikieni pasi na Huruma....!!!!

    Hapa hamjitoi Kimasomaso.

    KARATA ZENU ZIMEFICHUKA.
    MTA TOKA KAPA .NA HURUMA ZETU HAMZIPATI.
    Amani na Usalama ni jukumu na Wajibu wa mimi na wewe.

    ReplyDelete
  3. EHHH ,AHH.

    Tena ukae Chonjo ..Kibajaji haji kukukuna kaa alivyoseema ....!!!

    Matayariso nikwamba Atakupiga MSASA.

    KWELI WASIO HAYA WANAMJI WAO
    HAMJUI HISANI WALA UTU.

    MMEJIUMBUA NAMTAENDELEA KUUMBUKA.
    JPM ANACHANJA MBUGA ZA MAENDELEO KWA MTANZANIA. NYIE KTK TREASON GANG MKO
    WANGAPI ..WOTE MTAMA NA KAMATIZA MAADILI ZA CHAMA BAADA YA KIKAO UMEWARAHHISISHIA BAADA YA KUKIRI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad