Burna Boy ajibu kuhusu kolabo na Beyonce

Star wa Muziki wa Nigeria, Burna Boy alifanya mahojiano na Kipindi cha The Breakfast Club mwisho wa wiki iliyopita ambapo alifunguka kuhusu Album yake mpya pamoja na Collabo na Beyonce.

Wakati akielezea kuhusu kutokea kwenye album ya ‘The Lion King: The Gift” Burna Boy alifunguka kuwa hakuwahi kuzungumza na Beyonce wala kuingia nae studio, Taarifa za wimbo wake wa ‘Ja Ara E” kupitishwa kwenye album hiyo alipewa na Mama yake Mzazi ambaye pia ndio Meneja Wake.

Burna Boy pia alifunguka kuwa hatumii sana mitandao ya Kijamii, alisema Application pekee ambayo ipo kwenye simu yake ni “WhatsApp’.
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad