Ebitoke Afunguka Kuhusu Kazi ya Uhudumu wa Bar Aliyokuwa Anafanya Kabla ya Ustaa



MSANII wa vichekesho nchini, Annastazia Exavery ama Ebitoke amesema kazi ya uhudumu wa baa imemfundisha vitu vingi kwenye maisha yake na kamwe hatothubutu kuidharau.

Akizungumza na DIMBA, Ebitoke alisema, hawezi kuidharau kazi hiyo wala kuwasema vibaya wanaoifanya kwa sababu anajua changamoto zake na wanaofanya siyo kwamba wanapenda.

Ninaheshimu uhudumu wa baa kwani kwangu ina mchango mkubwa katika maisha yangu najua changamoto zake na wale wanaofanya siyo kwamba wanapenda misukosuko ila ni shida tu,î alisema Ebitoke.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad