Fahyvanny "Nampenda Sana Rayvanny Mpaka Nimeamua Kubadili Dini"

Mpenzi wa Msanii Rayvvan, Fahyvanny amewaacha mashabiki midomo wazi baada ya kujitapa kuwa anapiga picha kwa ghalama ya Tsh milioni mbili kwani anapenda sana picha na mambo ya urembo.

Akipiga story na Mwandishi wa Habari Fahyma amesema "Napenda sana mambo ya urembo toka zamani na mambo ya kupiga picha hivyo natumia hadi milioni mbili nikitaka kupiga picha"

Aidha Mrembo huyo amefunguka kuwa hivi sasa amebadili dini na sababu kubwa ya kubadili dini ni kwa sababu anampenda sana Rayvanny na tayari ameshaanzisha familia nae.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad