Huwezi Amini Kumbe Tunda na Whozu Walianza Kupashana Toka Shule ya Msingi


Tunda ambaye wiki hii amesherehekea 23 birthday , amemfungukia Whozu jinsi walivyofahamiana

“Hukohuko kwa kina Whozu ndio kwetu ni majirani, Whozu kwao ni Moshi na sisi kwetu ni Moshi hata nyumbani kwetu tayari wanamfahamu, yaani Whozu alipokulia, shule aliyosoma na mimi hivohivo, Whozu nimeanza kumfahamu tangu shule ya msingi na tulisoma shule moja Moshi kabla sijahamia Morogoro”. Tunda ameiambia EATV
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad