Ibrahim Ajibu Arudi Msimbazi Asaini Miaka Miwili

Ibrahim Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.

Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.

"Safari ya mtoto kuishi mbali na nyumbani imefikia ukingoni. Ibrahim Ajibu ameamua kufanya maamuzi sahihi ya kurudi nyumbani Msimbazi, ndio amerudi na amesaini mkataba wa miaka miwili kucheza na kuwapa furaha Wanasimba. Karibu nyumbani Ajibu," imeeleza taarifa kutoka Klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad